Day: November 1, 2019

Umuhimu wa Website Katika Biashara Yako

Umuhimu wa Website Katika Biashara Yako

Website (tovuti) ni kiungo muhimu katika ukuaji wa biashara yako. Kama unahangaika kutangaza mtandaoni bila ya kuwa na website ni sawa na kukaribisha wageni bila ya kuwa na nyumba, watafikia wapi?   Hakuna pa kufikia!!   Sasa sikiliza, Kama unahitaji kukuza biashara yako na kuwafikia wateja zaidi ni lazima uwe na tovuti ambayo ina uwezo […]