Umuhimu wa Website Katika Biashara Yako

Read Time20 Second

Website (tovuti) ni kiungo muhimu katika ukuaji wa biashara yako. Kama unahangaika kutangaza mtandaoni bila ya kuwa na website ni sawa na kukaribisha wageni bila ya kuwa na nyumba, watafikia wapi?

 

Hakuna pa kufikia!!

 

Sasa sikiliza, Kama unahitaji kukuza biashara yako na kuwafikia wateja zaidi ni lazima uwe na tovuti ambayo ina uwezo wa kutangaza brand yako hata kama umelala. Huamini?

Ngoja nikupe mfano………..

1 0
Happy
Happy
100 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleppy
Sleppy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *