Day: November 4, 2019

Umuhimu wa Kutangaza Mtandaoni

Umuhimu wa Kutangaza Mtandaoni Online-Advertising-01-1200x638

Katika utangazaji wa bidhaa au huduma njia maarufu zilizozoeleka ni kutangaza katika Televisheni, Radio, Posta, Vipeperushi na kadhalika. Lakini Matangazo ya mtandaoni yana ufanisi mkubwa kuliko mengine iwapo yatafanywa kwa usahihi. Ufuatao ni umuhimu wa kutangaza mtandaoni.   1.Tangazo linaweza kupimwa ufanisi. Tangazo lililotangazwa mtandaoni linapimika kama ni watu wangapi limewafikia na kwa muda gani […]